PROBLEM [13]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2025

Комментарии • 242

  • @StopperSailor
    @StopperSailor 9 месяцев назад +7

    Chado master hanifa .mmetulia sana .kazi mzuli sana from sauth africa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 9 месяцев назад +8

    😂😂😂😂utajiri gani uyo wakumtesa mwenziyo kisa utajiri niatari sana 😢😢😢

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 9 месяцев назад +6

    Daah maskin khanifah😢😢😢😢,pole kw vibok,chadooo kula nyama nyamaza

  • @VeronicaMathias-ed5pw
    @VeronicaMathias-ed5pw 9 месяцев назад +10

    Kaz nzur brother

  • @FurahaMoses-lc3nz
    @FurahaMoses-lc3nz 9 месяцев назад +6

    From kenya nimechelew kidogo but naomba kalike

  • @JaffarIliasy
    @JaffarIliasy 9 месяцев назад +9

    Mthihani gani huo😢heri ni zeeke gulf lkn sio kwa Hali iyo😢😢

  • @StevenInsamu-dl8nu
    @StevenInsamu-dl8nu 5 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂chado nakukubali mutizi wangu kabisa unajuwa kuigiza you make me to be happy for this movie my name is Chris from south Africa 🇿🇦 furahai maisha

  • @CathelineJuma
    @CathelineJuma 3 месяца назад +3

    Jaman nawaombea wote tuvuke mwaka salama🙏🎉🎉❤

  • @BénjaminNDIKUMANA-g1g
    @BénjaminNDIKUMANA-g1g 9 месяцев назад +18

    Yanii chado ni mzuli sana ❤ kama unamkubali gonga likes👊

  • @BarakaAloice
    @BarakaAloice 9 месяцев назад +10

    Kwanza pole sana namsiba

  • @AUTRISFILMPRODUCTION
    @AUTRISFILMPRODUCTION 9 месяцев назад +9

    Sawa ngadaya 😂😂😂😂 naona Leo unakula vitu 😂😂😂

  • @MariamMaftah-b9d
    @MariamMaftah-b9d 9 месяцев назад +12

    Pole chado kwa mitihani innalillah wainnaillah rajoon

  • @Kidawa-cn7rm
    @Kidawa-cn7rm 9 месяцев назад +10

    Jamanii wanaume wote wangekuwa na upendowa dhat kwa wake zao Kama chado basi wanawake tungeweka kifua mbele

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 9 месяцев назад +3

    Kazi nzuri sana Mr chado pokea Maua yako 🎉🎉🎉❤

  • @AluwaFidelis
    @AluwaFidelis 6 месяцев назад +1

    Mungu atusaidie sana
    Maana so kwa maswwhibu haya 😭😭

  • @akhiiyahya7629
    @akhiiyahya7629 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂dah mzmu nao unabambiaa mmh hii kl ya mwaka

  • @AmonizerJerry
    @AmonizerJerry 7 месяцев назад +2

    May the Almighty God make it easy for us to search and be able to get rid of worldly desires

  • @aminapili2978
    @aminapili2978 9 месяцев назад +18

    Hili nifunzo kwawanao taka vya uteremko jaman tujihadhar na pesa zisizo zitolea jasho

    • @Magret-fi2gs
      @Magret-fi2gs 7 месяцев назад

      Kabisa funzo tena kubwa

    • @maryammaryam7354
      @maryammaryam7354 6 месяцев назад

      Kabisa umesema hapo ,na nikweli wako wengi Sana wanatesa watu was jui ya pesa😢

    • @jamillahassan3405
      @jamillahassan3405 6 месяцев назад

      Ni kweli

    • @TsumandaroTsuma
      @TsumandaroTsuma 2 месяца назад

      Sasa cha ajaabu ninini hapa

  • @HasnaHasna-q5x
    @HasnaHasna-q5x 9 месяцев назад +11

    Nimecheka eti watoto 2000..punquzeni umalaya 😂😂😂😂😂😂😂ila kweli

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 9 месяцев назад +2

    Ongera sana hanifa umecheza vizurii sana ila chado kabadilika sana

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 7 месяцев назад +1

    Hii ni funzo wanaume wenye hampendi kujituma 😢 daddy mwananmke kakufwata wamkataa😂😂 chado pole sna

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 9 месяцев назад +10

    Hanifa umejua kuigiza dah

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 9 месяцев назад +4

    Chado unaupiga mwingi unaanza ku enjoy life 😂😂😂

  • @AsumaniJuma-u2r
    @AsumaniJuma-u2r 9 месяцев назад +3

    Aise big up sana chado master 🎉🎉🎉

  • @mussakarata6650
    @mussakarata6650 9 месяцев назад +3

    Vitu vya kufurahishaa umeletewa na unaambiwa tulia upew vituu😂😂😂

  • @AminKanefu
    @AminKanefu 9 месяцев назад +3

    Achakazi iendelee...Mr chadoooooohhhhh....!!!!
    By Mr okay 1time

  • @omarihemedi6282
    @omarihemedi6282 9 месяцев назад +4

    Respect to you Chado master.. Best series ever🫡🫡

  • @furahakenga6619
    @furahakenga6619 9 месяцев назад +1

    Yaan chado nakupenda hujui tu 😂😂😂❤❤

  • @AminaAli-w3s
    @AminaAli-w3s 9 месяцев назад +1

    Kwanza Pole saaaaan bro kwa mtihani inalilah wainalilah rajuun

  • @radoboutzkn
    @radoboutzkn 8 месяцев назад

    kudadadeki ngadaya jini mtoto nae anakula burudani haaaaaaa Chado shenzi sana ww, unamaliza gb zang kila ck adi kieleweke🥰🥰🥰❤❤💯💥

  • @mohddaima513
    @mohddaima513 9 месяцев назад +5

    Jamani tunaomba muendelezo wa moyo wa chuma

  • @jamesmutali4356
    @jamesmutali4356 9 месяцев назад +3

    kwa leo nmejrb hongera kwangu

  • @NovachichNdikuman
    @NovachichNdikuman 9 месяцев назад +5

    Ngadaya leo kapig vitu vyake🤣🤣

  • @peterfujokalogi7821
    @peterfujokalogi7821 9 месяцев назад +2

    Leo nimewahi jaman kazi nzur sanaa

  • @biashamwidadimvumbo2557
    @biashamwidadimvumbo2557 7 месяцев назад

    Mizimu nayo pia yacheza magoma😂😂😂😂😂hatari lakini salama

  • @akhiiyahya7629
    @akhiiyahya7629 5 месяцев назад

    Dah mbn moyo umeniuma sn km vle n kweli nmejkut choz linadondoka bl kutarajia

  • @ngabungabrain6574
    @ngabungabrain6574 8 месяцев назад

    Oya gonga laki Kama ulisikia mkongo baba Aki sema safi sana petit yangu😅😅

  • @AminaShaweji
    @AminaShaweji 4 месяца назад

    Hhhh watoto wa 2000 awoo ni atary kabis asant chado kwa kuwajuilia😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 5 месяцев назад

    Ilikuja mwenyewe imerid menyewe😅😅😅😅imeolewa eeh😂😂

  • @traviegrey3434
    @traviegrey3434 9 месяцев назад

    Kazi nzuri brother chado unajali sana 🎉🎉🎉

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 3 месяца назад

    Mnamuelewa mganga ati umeolewa😂😂😂😂😂

  • @Amina-Rshd
    @Amina-Rshd 9 месяцев назад +3

    Ewaa kumekcha pande izi za mr Chado ajazoea kulal n wanawake 2

  • @DavidGongolo
    @DavidGongolo 6 месяцев назад

    Gedaya umesahahu kuwa wew ni mzimu😂😂😂😂

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h 9 месяцев назад +3

    Mr chado hapa huna ujanja umewezekana kweli😂😂

  • @Mubarakaashim
    @Mubarakaashim 9 месяцев назад +3

    Pole kwa matatizo bro chado master

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 9 месяцев назад +21

    Kwa wapenz wa series ya ploblem 🎉
    Tujuane 😂😂😂😂kwa like za kutosha
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 9 месяцев назад +1

    Chado😂😂😂 ati hei hei 🙌 # problems izo si problem...tuchume vya halali aisee

  • @NabilAli-z1e
    @NabilAli-z1e 6 месяцев назад

    Zombi linakupa copo 😅😅duh wametisha

  • @TsumandaroTsuma
    @TsumandaroTsuma 2 месяца назад +1

    Mbona masharti madogo ingawaje yafaa kujitolea maana daaaahh!

  • @mahmoudnajad217
    @mahmoudnajad217 9 месяцев назад +3

    Good job from Zanzibar

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz 7 месяцев назад

    Utajiri wa mateso Mungu niepushe good job chadoo

  • @calebokiring6631
    @calebokiring6631 9 месяцев назад +1

    Ngadaya killed me😂😂😂😂😂,aaaaaah 🙌🙌🙌🙌

  • @SusanJulius-cu8xp4vx4m
    @SusanJulius-cu8xp4vx4m 9 месяцев назад +1

    Welcome back chado pole Kwa msiba

  • @AngelAlly-p5f
    @AngelAlly-p5f 5 месяцев назад +1

    Dah anifa anateseka jaman utajiri utoke kwa mungu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 7 месяцев назад

    Umelala nao usharidhika pamekucha unawachamba Ila mganga noma😂😂

  • @Awoshy
    @Awoshy 9 месяцев назад +8

    Kwa iyo Ngadaya nae anapata burudani😂😂😂

  • @AshaJuma-dz6hq
    @AshaJuma-dz6hq 5 месяцев назад

    Mwenzangu hata raha ya pesa zenyewe huioni kwa stail hii mmm nimejikuta nalia aisee😭😭😭

  • @JaraNagaro
    @JaraNagaro 9 месяцев назад +3

    Pole kwa hayo but tamaa ni mbaya chado

  • @mussakarata6650
    @mussakarata6650 9 месяцев назад +3

    Kumb pesa zitapatkna kwa tabu hivyooo yaaan mkeo umbutue kama Mbwa afu uletew malaya aseee 😢😢😢

  • @Mohamedak-yy3rd
    @Mohamedak-yy3rd 3 месяца назад

    Hii movie imefanya nmedondokwa n machozi inasikitisha sna n nmejifunza ktu hpo

  • @ZahraBadi-e7b
    @ZahraBadi-e7b 6 месяцев назад +3

    😂😂😂😂vitoto vya 2000 ivo no bikra no ndoa😂😂😂

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 5 месяцев назад

    Damu inatuchemka mda wote vinatuwasha😂😂😂

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 9 месяцев назад

    Mzimu na wenyewe unajua kucheza 😂😂😂😂😂

  • @BensonBenson-m6j
    @BensonBenson-m6j 8 месяцев назад

    😅😂jini analuka mziki na kubambia juu c hatar iyo

  • @OmarMbeliz
    @OmarMbeliz 5 месяцев назад

    Mwamba gadaya kwenye ubora😂😂😂😂😂

  • @AngelAlly-p5f
    @AngelAlly-p5f 5 месяцев назад +1

    Mi naumia kweli kuhusu anifa tena kwenye viboko duhh

  • @emanuelnduhiye2427
    @emanuelnduhiye2427 5 месяцев назад

    Mbona mthihan mdogo sana chado m naweza

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 9 месяцев назад +1

    Ngadaya me naona wivu😂😂❤

  • @AminaKinyomwa
    @AminaKinyomwa 9 месяцев назад +3

    Ko moyo wa chuma ndo basi tena heheheyaaaaa chado kam chado

  • @AshulaMbola
    @AshulaMbola 7 месяцев назад

    Ngadaya ni jini la kidigital yani anayajua mambo mazuri nae 😂😂😂😂😂 ndo i like

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 9 месяцев назад +1

    Naona Mr chado unakula laha na ngadaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 9 месяцев назад +13

    MGANGA NIMEMUELEWA ANAJUA SANA🎉😂😂

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b 7 месяцев назад

      alafu handsame kinoma yani 😘😂😂😂

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 9 месяцев назад +6

    Wakwanza from 🇲🇿🇲🇿

  • @user-Zadig
    @user-Zadig 9 месяцев назад +19

    Kyombo ikyoooh ❤jamani wakwanza kwetu lubumbashi DRC 🇨🇩🇨🇩 nipe tuma likes uchoyo apana

    • @Cecyl-jz4mr
      @Cecyl-jz4mr 9 месяцев назад +1

      🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Augutstin
    @Augutstin 9 месяцев назад +7

    Wa kwanza leo

  • @SalvanusKakalel
    @SalvanusKakalel 6 месяцев назад

    😂😂😂 watoto wa 2000 wanapenda 💦💦💨

  • @DidaTuesday
    @DidaTuesday 4 месяца назад

    😂😂😂ya leo Kali chado🎉🎉🎉

  • @RechoLusoko
    @RechoLusoko 3 месяца назад

    We msimshike chado wangu nyie pimbi😅

  • @tommyelikana8737
    @tommyelikana8737 6 месяцев назад

    Ngadaya kambabia then akamuachia chado ale mizigo😂😂😂😂😂😂

  • @ShanghaiAisha
    @ShanghaiAisha 7 месяцев назад

    Kumbe kadaya anajua kucheza Ivo kaniacha oiii😂😂😂

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 9 месяцев назад +4

    Another one 🎉🎉🎉nakubali chado

  • @maryammaryam7354
    @maryammaryam7354 6 месяцев назад

    Inauma,sana ,bora upate kimono kuliko,utajiri wa machoz😢

  • @Thuma_junior
    @Thuma_junior 9 месяцев назад

    Congratulations chado 🎉 with your team your very talented 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 9 месяцев назад +1

    Duh picha inafunzo sanai

  • @rehemakhery2309
    @rehemakhery2309 7 месяцев назад +1

    Afuu huyuu mwnye rastaa mbn kama anaonekanaa nd kaz yakee na kazoeyaaa😂😂😂 au me tyu nd naonaa vbyaa😂😂💔

  • @AgnessBageni
    @AgnessBageni 2 месяца назад

    Hii scene Imeniumiza sana alivyompga hanifa Dah had nimelia 😢😢😭😭😭😭

  • @fatimauwesso7490
    @fatimauwesso7490 6 месяцев назад

    Alie mpenda mdoli wa mgaga makopa juuu ❤❤😂🎉

  • @Bushiri-u4l
    @Bushiri-u4l 9 месяцев назад

    Mizim wauzunguni wanacheza na mdem dua sana

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 9 месяцев назад +2

    Ngadaya me nakupenda mno

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 9 месяцев назад

    Duuh mtihn sana haya màisha mmmh❤🇹🇿

  • @BijouxBulose
    @BijouxBulose 9 месяцев назад +2

    Mbona ulikuwa umecha Chelsea chado na❤❤❤ hii tamsiliya

  • @ShamsaGao-nn1ge
    @ShamsaGao-nn1ge 9 месяцев назад +1

    Chado kula nyama nyamazaaa😂😂

  • @InnocentMfuranzima
    @InnocentMfuranzima 9 месяцев назад +6

    Kama unamkubali chado gonga likes zenu hapa love from burundi 🇧🇮 ❤❤❤❤

  • @zuluRaphaelItangishaka
    @zuluRaphaelItangishaka 9 месяцев назад +5

    number seven!love from burundi❤❤❤

  • @E_mwafrica-dc2zm
    @E_mwafrica-dc2zm 9 месяцев назад +2

    Gedaya mzimu kumbe anaujua mzk bhana😅

  • @dzamecharo5283
    @dzamecharo5283 8 месяцев назад +2

    Weeee wacheni nioshe vyombo vyawarabuu hali hiii apana😢

  • @RoseJoseph-tt4du
    @RoseJoseph-tt4du 7 месяцев назад +1

    Unajua sana chado🥰🥰

  • @arafaramadan6234
    @arafaramadan6234 9 месяцев назад +3

    Kadaya we nani kakuruhus ushike wengine 😢😂sijapend😮

  • @SusanJulius-cu8xp4vx4m
    @SusanJulius-cu8xp4vx4m 9 месяцев назад +5

    Yaan mm kama ningekuwa chado nikipewa fimbo naanza na wao

    • @TausRaj
      @TausRaj 8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @Stecy-r7s
      @Stecy-r7s 7 месяцев назад

      Watayayuka😂😂😂😂

    • @TotoTondolo
      @TotoTondolo 6 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂uyakanyange tena 😂

  • @ChingaMediaa
    @ChingaMediaa 4 месяца назад

    Hii noma 😂jini anacheza😂